News

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ametangaza kufariki kwa mmoja wa watu wanne waliookolewa katika machimbo ya ...
Wakazi 11 wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 20 likiwemo la kujipatia zaidi ya sh. bilioni 5, kwa njia udanganyifu m ...
TANZANIA’S ruling party, CCM, has collected 86.31bn/- during the launch of its fundraising drive ahead of the 2025 General ...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa na ...
Mwanaume mmoja, Daudi Bazili (56), mkazi wa Kijiji cha Mabana, Wilaya ya Kilosa, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na ...
Makada na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kilimanjaro, wamevunja rekodi ya idadi ya wadhamini wanaotakiwa ...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariyam Mwinyi, amesema tafiti zinaonesha kuwa elimu ya malezi na makuzi ya awali ya mtoto ni nguzo muhimu katika kujenga uchumi wa dunia. Akizungumza leo, Agosti 13, wak ...
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kwamba endapo atachaguliwa kuwa rais, atasimamia ...
WANAFUNZI waliomaliza kidato cha nne mwaka 1995 katika shule ya sekondari Kidia, iliyoko mkoani Kilimanjaro, wamechangia ...
Watu wanne wameokolewa hadi sasa kati ya 25 waliokuwa wamefukiwa baada ya kuangukiwa na mgodi katika machimbo ya dhahabu ya ...
Jopo la mawakili wa Serikali limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kuzuia matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya mwenendo wa kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, ...
MWENYEKITI wa Kamati ya Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere Prof. Penina Mlama, amewasisitiza Watanzania wote wanaoshiriki ...